WALIOCHAGULIWA VYUO VYA KATI NA FORM FIVE-2025 -TAZAMA JINA LAKO HAPA
UNIVERSITY WARM-UP BLOGS
TAMISEMI imetangaza rasmi orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano (Form Five) pamoja na Vyuo vya Kati kwa mwaka wa masomo wa 2025.
Majina hayo yanapatikana mtandaoni na kila mwanafunzi anaweza kuangalia jina lake mwenyewe kwa kuchagua shule aliyosoma kidato cha nne.
Fuata maelekezo hapa chini ili kujua kama umechaguliwa na wapi umechaguliwa:
JINSI YA KUANGALIA JINA LAKO – HATUA KWA HATUA:
Gusa linki hii ya TAMISEMI:
Utaona majina ya mikoa yote.
Chagua mkoa uliosoma kidato cha nne (O-Level).Baada ya kuchagua mkoa, chagua wilaya ambayo shule yako ipo.
Kisha chagua jina la shule yako ya sekondari.
Utaona majina ya wanafunzi wote waliomaliza katika shule hiyo.
Tafuta jina lako kwenye orodha. Utaona:
Jina lako kamili
Chuo au shule ya sekondari (Form Five) uliopangiwa
Kozi au combination utakayosoma
MAELEZO YA ZIADA:
Kama jina lako halipo, unaweza kuwa hujachaguliwa au taarifa hazijawekwa kikamilifu. Jaribu tena baada ya muda.
Unaweza kuwasiliana na uongozi wa shule yako kwa msaada zaidi.
Nafasi za second selection hutolewa baadaye kwa waliokosa kwenye uchaguzi wa awali.Tutaweka hapa hapa second selection
UNAHITAJI MSAADA ZAIDI?
Jiunge na kundi letu la WhatsApp kwa msaada kuhusu:
Kupakua barua za shule/chuo
Usajili
Maombi ya mkopo (HESLB)
Comments
Post a Comment