Posts

Showing posts from June, 2025

WALIOCHAGULIWA VYUO VYA KATI NA FORM FIVE-2025 -TAZAMA JINA LAKO HAPA

UNIVERSITY WARM-UP BLOGS   TAMISEMI imetangaza rasmi  orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano (Form Five)  pamoja na  Vyuo vya Kati  kwa mwaka wa masomo wa 2025. Majina hayo yanapatikana mtandaoni na kila mwanafunzi anaweza  kuangalia jina lake mwenyewe  kwa kuchagua shule aliyosoma kidato cha nne. Fuata maelekezo hapa chini ili kujua  kama umechaguliwa na wapi umechaguliwa : JINSI YA KUANGALIA JINA LAKO – HATUA KWA HATUA: Gusa linki hii ya TAMISEMI:          TAMISEMI Utaona  majina ya mikoa yote . Chagua mkoa  uliosoma kidato cha nne (O-Level). Baada ya kuchagua mkoa,  chagua wilaya  ambayo shule yako ipo. Kisha chagua  jina la shule yako  ya sekondari. Utaona  majina ya wanafunzi wote  waliomaliza katika shule hiyo. Tafuta jina lako  kwenye orodha. Utaona: Jina lako kamili Chuo  au  shule ya sekondari (Form Five)  uliopangiwa Kozi au...